little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Hahahaha sijui umewaza nini kiukweli nimecheka sana, kila nikisoma nikianza kufikiria .Nunua feni uwe unakodisha hostel kwa wanaogegedana. Mechi moja buku mbili. Wanafunzi wengi hostel hawana feni
Kabisa mkuu.Uzi ni mzuri. Ila kuna baadhi ya wachangiaji wanaleta masihara eti.
Ndio akili za kitanzania hizi mkuu. /Hii nchi ina watu wa hivyo sana, mtu anaomba ushauri watu wao ni kuweka Masihara
Upo kwenye hii industry?Mihuri tofauti tofauti!!
Inaitwaje na inauzwajeTafuta machine ya kuonyesha magonjwa ya gari diagnostic mashine ni computer ndogo inapima magari yote
Kwa kuanzia inabidi uwe nazo ngapi?Tenti zinakodishwa kwa elfu 50 - 80.
Hata mmoja fresh, ila navyoona ukianza na tatu ni vizuri zaidi. Mfano msiban hawawezi taka tent moja, ni kuanzia 2 na kuendelea.Kwa kuanzia inabidi uwe nazo ngapi?
Inategemea na location Mashine ya juice ya miwa, video Camera, Drill ya kutobolea ukuta na vinginevyo vinaweza kukuingizia Hio hela, cha muhimu jua upo Eneo gani kuna demand gani halafu nunua kifaa husika.Nje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Hii ndiyo kitu gani mkuu?CNC router
Ebwana Mkuu kwema?Mi niko nayo hiyo Chombo sema sijui italeta vipi pesa.Tafuta machine ya kuonyesha magonjwa ya gari diagnostic mashine ni computer ndogo inapima magari yote
Computer Numerical ControlHii ndiyo kitu gani mkuu?
Kipochi manyoya pekee ndo hukosi 50,000 Kwa siku. Jitahid usafiNje ya magari na vifaa vya aina hiyo,
Je ni mashine gani au chombo gani cha utendaji wa kazi za kiufundi au ukandarasi ukiwa nacho alhamdulilah utapumua.
Umeipata kwa bei gani?Ebwana Mkuu kwema?Mi niko nayo hiyo Chombo sema sijui italeta vipi pesa.
Hii ni pesa mkuuu hatari Sana, unatakiwa pia uwe designer mzuri Sana na how to program it or else its moneyComputer Numerical Control
hii mashine sio ya kitoto ukiweka mahali na ujue kuitumia. Kuanzia mambo ya mbao hadi chuma.