4... CCM1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for)
2. TTCL
3. .....endelea
Na haya yalitoa gawio la Samia?
A ni mamlaka...1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for)
2. TTCL
3. .....endelea
Na haya yalitoa gawio la Samia?
BASATA1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for)
2. TTCL
3. .....endelea
Na haya yalitoa gawio la Samia?
Kwani CCM ni shirika au ni mavi👉💩A ni mamlaka...
Tuanze na shirika la ccm kwanza, likiondoka hili mengine yatakuwa na tija.
Kwa vile aitumii yupo bush huko analia lia tu maisha magumuOndoa hapo TTCL...jamaa wapo vizuri na wanapiga kazi sana.
TRA with immediately effect ifutwe1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for)
2. TTCL
3. .....endelea
Na haya yalitoa gawio la Samia?
TAKUKURU; moja ya taasisi useless kabisa Tanzania. Haina impact yoyote ile kwenye kuleta uwajibikaji.1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for)
2. TTCL
3. .....endelea
Na haya yalitoa gawio la Samia?
Unamaanisha mashirika, wakala, mamlaka, baraza na taasisi?1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for)
2. TTCL
3. .....endelea
Na haya yalitoa gawio la Samia?
Iko wapi? MIKOANI mbona sioni?TTCL sasahivi wako vizuri na fiber yao
Bila kuhujumiwa na walafi wa ccm, hakuna kampuni ya mawasiliano ambayo ingehimili kushindana na ttcl.Ondoa hapo TTCL...jamaa wapo vizuri na wanapiga kazi sana.
Huyo anafikiri kila kitu kinaweza kuendeshwa na sekta binafsi.Umefikiria vizuri ulipoitaja TMA?
Usafiri wa anga na majini unategemea sana hii taasisi.