Ni mashirika gani ya Umma hayana tija yanafaa kufutwa

Ni mashirika gani ya Umma hayana tija yanafaa kufutwa

1. TMA (Tanzania Metrology....) What does A stand for)
2. TTCL
3. .....endelea

Na haya yalitoa gawio la Samia?
Mamlaka ya hali ya hewa ni muhimu sana kwa taifa. Lifutwe shirikq la Posta, @ttcl, N.I.C (Bima) na CHAMA CHA MAPINDUZI vifutiliwe mbali
 
Back
Top Bottom