mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Naomba wenye uzoefu na ufahamu wanisaide ni mashirika gani (kwa majina) ambayo hayapo kwenye mfumo wa Lawson.
Mimi ni muanga wa kuacha kazi serikalini mwaka 2012 na inanisumbua kurudi kwenye ajira za serikalini.
Nimeshauriwa na watu nijaribu kuomba kwenye taasisi za serikali ambazo hazitumii mfumo wa Lawson ndio naweza kuingia kwenye ajira na kulipwa mshahara.