Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hicho cheti ni kama ufunguo kwenye suala zima la elimu na ajiraCheti cha FOMU FOO ndo Balaa maana hiyo ni Requirement uchomoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho cheti ni kama ufunguo kwenye suala zima la elimu na ajiraCheti cha FOMU FOO ndo Balaa maana hiyo ni Requirement uchomoi
Hapana wanatanga kwa kada baada ya usaili ndio wanawatawanya washindi kwa waajiri waliopeleka maombia ya kufanyiwa usailiSecretariat wanapotangaza wanasema shirika unalotakiwa kuomba.
Wala sio ya namba ya 4m4 ndio ishu.Number ya usajili ya form four ndio ishu hapo
Acha uongo hawa wapo Lawson.JWTZ
POLICE
TISS
PCCB
FIRE
IMMIGRATION
PRISON
Hawapo Lawson
Kuna mtu aliniambia ukikaa miaka zaidi ya mitano inajifuta lakini pia wengi wamerudi kwenye utumishi bila kushikwa, mfano nina jamaa zangu wawili wametoka Magereza wameenda Tanesco na mwingine dereva wa halmashauri.Nimeona afisa biashara amerudi kazini aliondoka toka 2011,na hii nazungumza ni juzi tu,ukiwa na mtu utumishi jombaa ni fasta
TSC ni nini? Mbona unazungumza kana kwamba kila mtu ni mwalimu aisee,afisa biashara nae anaenda TSC?
Ukiandika tu Exam namba wanakudata Alfajiri kabla jogoo hajawika, Naomba watumsiwachomw wenzenu km mtu kazunguka na kurudi mwacheni kwani mimi sioni Mantiki ya kuzuia mtu aliyeondoka kurudi. Kuna mtu anasema alienda kusoma kurudi wakamtema hakuna mantiki kwani watu wanapata ujuzi mpya kila leoHicho cheti ni kama ufunguo kwenye suala zima la elimu na ajira
Mimi hata mshahara sikupataga lakini walinidumbukiza wakanipa na check No sasa inanitesa nimepata ajira mara mbili ngoma inbounce. Details zangu zipo kwenye mfumo sasa hivi hata sijisumbui kuomba tena.Ukiandika tu Exam namba wanakudata Alfajiri kabla jogoo hajawika, Naomba watumsiwachomw wenzenu km mtu kazunguka na kurudi mwacheni kwani mimi sioni Mantiki ya kuzuia mtu aliyeondoka kurudi. Kuna mtu anasema alienda kusoma kurudi wakamtema hakuna mantiki kwani watu wanapata ujuzi mpya kila leo
Pole maana waweza kuta mtu anaomba kitu kingine lkn anawekewa kauzibe tu bila sababu hata hivyo pambana pande zingine mambo yatakuwa sawaM
Mimi hata mshahara sikupataga lakini walinidumbukiza wakanipa na check No sasa inanitesa nimepata ajira mara mbili ngoma inbounce. Details zangu zipo kwenye mfumo sasa hivi hata sijisumbui kuomba tena.
Kwanini hukupata mshahara?na ulishapata check nambaM
Mimi hata mshahara sikupataga lakini walinidumbukiza wakanipa na check No sasa inanitesa nimepata ajira mara mbili ngoma inbounce. Details zangu zipo kwenye mfumo sasa hivi hata sijisumbui kuomba tena.
Mshahara hakuingia kwnye account lakini salary slip ilitoka. Inaonesha walikula juu kwa juu huko.Kwanini hukupata mshahara?na ulishapata check namba
Unique details, nawaza tu.Hivi check number inakuwa na details zipi kiasi kwamba ukirudi wanajua ni wewe?
kaka naomba namba yakoNaomba wenye uzoefu na ufahamu wanisaide ni mashirika gani (kwa majina) ambayo hayapo kwenye mfumo wa Lawson.
Mimi ni muanga wa kuacha kazi serikalini mwaka 2012 na inanisumbua kurudi kwenye ajira za serikalini.
Nimeshauriwa na watu nijaribu kuomba kwenye taasisi za serikali ambazo hazitumii mfumo wa Lawson ndio naweza kuingia kwenye ajira na kulipwa mshahara.
Kabla haujafanya maamuzi yoyote makubwa omba ushauri kwa watuHapana mimi niliachaga kazi muda mrefu nikaenda kusoma masters wakanisimamishia mshahara so wakati huo bado dogo sikuwa naelewa vizuri mambo ya utumishi mimi nikaandika barua kabisa ya kuresign utumishi wa umma halmashauri.
Baadae kurudi ikawa mbinde nilishwai pata kazi mbili nilipo ripot wakaniambia tayari nna cheque number inaonekana niende kushughulikia basi shughuli yangu ikawa inaishia hapo maana niliandika mpaka barua utumishi sikuwai jibiwa haya yamenitokea 2012 mpaka 2015 baada ya hapo nikakata tamaa kabisa nikajikita private ila now naona ikitokea nafasi serikalini niombe ishu ni lawson inatambua