mimi mtakatifu
JF-Expert Member
- Oct 11, 2019
- 248
- 539
Kama siyo inshu ya vyeti feki omba urudi tu kazini,ni rahisi sana kama unacheki namba.Naomba wenye uzoefu na ufahamu wanisaide ni mashirika gani (kwa majina) ambayo hayapo kwenye mfumo wa Lawson....
Hapana mimi niliachaga kazi muda mrefu nikaenda kusoma masters wakanisimamishia mshahara so wakati huo bado dogo sikuwa naelewa vizuri mambo ya utumishi mimi nikaandika barua kabisa ya kuresign utumishi wa umma halmashauri.Kama siyo inshu ya vyeti feki omba urudi tu kazini,ni rahisi sana kama unacheki namba.
Usimdanganye, ishaisha hiyoo exception ilikuwaga kwa waalimu waliofukuzwa kwa utoro kazini tena enzi hizooo. Saivi hamna hio kituKama siyo inshu ya vyeti feki omba urudi tu kazini,ni rahisi sana kama unacheki namba.
Mkuu hata mashirika, Wakala au Taasisi za Umma zote soon zinaingia Lawson.Hapana mimi niliachaga kazi muda mrefu nikaenda kusoma masters wakanisimamishia mshahara so wakati huo bado dogo sikuwa naelewa vizuri mambo...
Aisee we jamaa wewe jamaaa nakuita tena wewe jamaa eti kwa walimu wewe jamaaa wewe jamaaaUsimdanganye, ishaisha hiyoo exception ilikuwaga kwa waalimu waliofukuzwa kwa utoro kazini tena enzi hizooo. Saivi hamna hio kitu
Tena zamani NAKAZIA! Sasa na wewe acha halafu ndio utaelewaAisee we jamaa wewe jamaaa nakuita tena wewe jamaa eti kwa walimu wewe jamaaa wewe jamaaa
Zamani mwaka ganiTena zamani NAKAZIA! Sasa na wewe acha halafu ndio utaelewa
Elewa tu hio fursa saivi haipo, toka TSC ilipoundwaZamani mwaka gani
Ndio naomba kama ajira mpya, vipi sehemu nyingine zipi apart from MSD?Mkuu hata mashirika, Wakala au Taasisi za Umma zote soon zinaingia Lawson.
Jaribu MSD hawapo lowson ila si unaomba kama ajira mpya maana ukiwaambia uliacha hawakuchukui. Maana watataka kibali kutoka UTUMISHI
Nimeona afisa biashara amerudi kazini aliondoka toka 2011,na hii nazungumza ni juzi tu,ukiwa na mtu utumishi jombaa ni fastaTena zamani NAKAZIA! Sasa na wewe acha halafu ndio utaelewa
TSC ni nini? Mbona unazungumza kana kwamba kila mtu ni mwalimu aisee,afisa biashara nae anaenda TSC?Elewa tu hio fursa saivi haipo, toka TSC ilipoundwa
Sasa mkuu ajira mpya si unaomba SEKRETARIETI YA AJIRA wao ndio wanakupangia mwajiri? Unahakika gani utapangwa kusio na Lawson?Ndio naomba kama ajira mpya, vipi sehemu nyingine zipi apart from MSD?
Huo ni mchongo hata ikulu ukiwa na mtu unaingia, mekuambia kuhusu taratibu. Mtoa mada si umeona kahangaika hadi utumishi na bado ishu ngumuNimeona afisa biashara amerudi kazini aliondoka toka 2011,na hii nazungumza ni juzi tu,ukiwa na mtu utumishi jombaa ni fasta
TSC ni nini? Mbona unazungumza kana kwamba kila mtu ni mwalimu aisee,afisa biashara nae anaenda TSC?
Secretariat wanapotangaza wanasema shirika unalotakiwa kuomba.Sasa mkuu ajira mpya si unaomba SEKRETARIETI YA AJIRA wao ndio wanakupangia mwajiri? Unahakika gani utapangwa kusio na Lawson?
Number ya usajili ya form four ndio ishu hapoNi Number Tu Zinazobeba Taarifa Zako Kwenye Utumishi