Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Kisheria nimiaka 18 amvayo mvulana au msichana anaweza kujitegemea
 
Imeandikwa mwenyezi Mungu ni muweza wa yote... je Mungu anaweza kuumba kitu kikubwa na kitukufu kuliko yeye??!!..
 
1.Kwa nn tunaishi duniani tukiangahika kupata mahitaji ya kila siku....ili iweje....Mwisho wa mahangaiko yetu ni nn??
 
we utakuwa "great thinker" wa kweli
 
*Mama yake Yesu bado ni bikra? Maana hadi leo anaitwa bikra wkt alishazaa
*Alipataje mimba bila kufanya ngono?
*Tunaambiwa Yesu alizaliwa, je baba ake mzazi ni nani?
 
Kwanini mamba hawezi kula kitu chenye mafuta wakati mfumo wake wa mmeng'enyo wa chakula tumboni kwake unaweza kuyeyusha hata misumari, au chuma chochote........??
 
Mmmmh utafikiri maswali umetoa kwenye Chandi Physics
 
( 1) Ni kwa nini tunalipa kodi alafu nyumba zetu zikianguka tunaambiwa serikali haina uwezo wa kutujengea? ( 2 ) kama tuna lipa kodi na kodi zinatumika kumlipa dactari mshahara kwanini tukienda hospitalini tunalipa pesa ya kumuona dactari? (3 ) je kama Tanzania ina ardhi ya kutosha kwa kilimo na makazi na kwakuwa kwa asili tumezaliwa Tanzania je ukichukuwa kilometa za mraba Tanzania ukigawa kwa watu million 50 je kila mtu atapata hecta ngapi? ( 4. ) kama kweli sisi ndio waajiri wa raisi na wabunge kwa maana nyingine ss ndo mabosi wao, ni kwa nn msafara wa raisi ukikuta barabarani unatembea kwa mguu kuelekea kijiji Fulani haupewi lift kama bosi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…