Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,984
- 2,971
Na Maji Taka hayo hayo ndiyo yako Kichwani ( Ubongoni ) mwako Juha ( Zuzu ) Wewe.
Wewe huna tofauti na furukombe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Maji Taka hayo hayo ndiyo yako Kichwani ( Ubongoni ) mwako Juha ( Zuzu ) Wewe.
Nyoni si alikosa juzi hapaMkude alitakiwa kutoka dk 90 Angie Nyoni ambae penati yake ni uhakika
we jamaa nilijua unazungumzia kocha kuanza na mabeki sita na viungo wakabaji wawili. halafu offensive wawili tu..Nilishasema katika moja ya Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums kuwa hakuna Kocha hapa na kutoa sababu zangu kadhaa za Kiufundi na Kiuchambuzi nasikitika Sikueleweka na Kutusiwa na Wadau.
Unajua kabisa kuwa Principle Kuu ya Wapiga Penati ni Kwanza kuanza na wale Mafundi wa Kupiga kama Shomary Kapombe na siyo Wabovu kama Mkude na Inonga.
Kocha mwenye Akili ( ambazo Tapeli wa Kihispania ) Pablo Franco Martin hana pale hasa ilipofika tu hatua ya Mikwaju ya Penati angeanza na Shomary Kapombe, Mohammed Hussein Tshabalala, Meddie Kagere, Pascal Wawa na Saido Kanoute.
Kama Kocha Mkuu umeshaona tokea mapema tu Jonas Mkude anagombana na Mwamuzi mara kwa mara pamoja na Beki Henock Inonga ambaye muda wote ni Kukasirika na Kuwafokea tu Wachezaji wenzake akijifanya anajua Mpira Tanzania nzima wakati Kiuhalisia ni wa Kawaida sana kupelekea Wawili hawa kutoka Mchezoni mapema halafu bado nikashangaa kuwaona nao Wamejumuishwa katika Wapiga Penati zile.
Tafadhali Uongozi wa Simba SC upesi sana Fukuzeni Kocha Mkuu Pablo Franco Martin na Msaidizi wake Suleiman Matola pamoja na Meneja wa Timu Patrick Rweymamu na mtafute Kocha wa muda huku mkimtafuta Kocha Mkuu Mpya anayeendana na Matakwa, Sera na Falsafa za Simba SC.
Labda mkiwa nae Kitandani.Kocha ni mzuri sana huyu
Muzee Musolon5 shikamoo[emoji28]
Ila mazuri nyie .....Si Kocha peke yake, hata CEO atimuliwe.
Ameifanya Simba imekuwa timu ya MIPASHO badala ya timu ya MPIRA.
Yaani sisi leo ni wa kushangilia Mayele kukabwa, tunatia aibu sanaIla mazuri nyie .....
[emoji23][emoji23]Labda mkiwa nae Kitandani.