Nimekusamehe π!Aliyekuzaa alitoka lini huko katika Psychiatric Ward labda?
Umetoroka milembe eeh!? Watu wa milembe hebu kujeni huko mteja wenu katoroka anatusumbua! Mje na sylinge gun na kamba kabisa!Ukianza Mimi namalizia tu. Mtanyooka!!!

Hili babu linapenda kupayuka. Wakati mwingine linaongea pumba sijui kwanini halijifunzi.Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi.
Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo Muhimu yote pamoja na Msisitizo isiyochosha ambayo imechukua dakika 15 tu ukamaliza.
Natamani mno Profesa Kabudi aje akuone ili uweze Kumfundisha kutoa Hotuba fupi, zisizoboa na zenye mambo irrelevant sana kwa Maisha yetu ya sasa na nyakati hizi tulizopo ambapo kila Mtu anakimbizana na muda huku mambo nayo yakiwa ni mengi.
Najivunia mno kuwa na Simu ya Tecno tena yenye Hadhi ya chini kabisa ya F1 ambayo sasa Dukani inauzwa Tsh 45,000/ tu pungufu unaongea. Na Wewe Tajiri Hongera kwa kuwa na Simu yako hiyo Kali ya Tsh 5,000,000/ na tena nasikia unazo Tatu hivi.We acha tu.Tecno ilikuja mapema sana Tz
Aliyekuzaa alitangulia Kunitoroka huko.Nimekusamehe π!
Umetoroka milembe eeh!? Watu wa milembe hebu kujeni huko mteja wenu katoroka anatusumbua! Mje na sylinge gun na kamba kabisa!
Ngoja wakuijie wakurudishe wodini! Tena inabidi wakunyang'anye na hiyo hand set, isije kuleta majangaπ!Aliyekuzaa alitangulia Kunitoroka huko.
Imbecile.Ngoja wakuijie wakurudishe wodini! Tena inabidi wakunyang'anye na hiyo hand set, isije kuleta majangaπ!
Ngoja tuuzungushe mwili wa mpendwa wetu zenjiπππ!
RIP our hero π π!
Full of theories na mineno miingiiii..Sijui alikuaje mwalimu wa UDSM.
Hakuna kitu, hotuba zake zinaboa mnooo... Ajifunze...Hotuba ya Mh. Kabudi jana iliambatana pia na wasifu wa marehemu.
Hivi kutafuta kasoro kwa kila jambo kumbe nao ni ugonjwa?
Acha kuingilia uhuru wa mtu kutoa maoni yake, kwani ulitumwa udandie comment yake?Mkuu kwa chuki hizi umepitiliza kiwango cha chuki za kawaida cha binadamu. huenda unaumwa ila wewe hujui, tafuta wataalam wa magonjwa ya kisaikolojia ukatibiwe!
Ukiona All - Rounder ( alias ) Brainiac naeleweka hivi basi jua ya kwamba hata hawa Wanaonielewa ( kama ) Wewe Ndugu ni Brainy kweli kweli. Ni Wapumbavu tu pekee hapa JF ndiyo huwa hawanielewi na hata Threads zangu ambazo huwa ni za Kufikirisha zaidi huwa zinawapa taabu mno na Matokeo yake wanaishia tu kuwa na Visununu ( Vinyongo ) na Mimi.Hakuna kitu, hotuba zake zinaboa mnooo... Ajifunze...
Asante sana kwa Kunielimishia huyo Juha Ndugu. Threads hapa JF zipo nyingi tu Kiherehere chake cha Kusoma hii yangu kimetoka wapi? Nilimuita? Kongole nyingi mno Kwako.Acha kuingilia uhuru wa mtu kutoa maoni yake, kwani ulitumwa udandie comment yake?
Ugonjwa wako upo hapa nilipo-bold...Pumbavu sijaanza Kumfuatilia Waziri Profesa Kabudi leo na sasa kwa Kukusaidia pia ni Rafiki mkubwa sana wa Baba yangu Mzazi na hizo Kasoro zake za Mistori mingi isiyo na Kichwa wala Miguu hata akija Kumsalimia Baba ( Mzee ) bado huwa ninaziona. Sema lingine tena sasa Mpuuzi Wewe.
Kabudi is GeniusIla Kabudi Kiakili yuko vizuri mno Ndugu.
Pale vilaza wengi sanaSijui alikuaje mwalimu wa UDSM.
ushauri.kuanzia sasa wasiwe kwenye makundi makubwa na limit ya wagen ipubgue huko m ma state house na sanitizers ziwe hapoRais Hussein Mwinyi ni chuma cha pua kile. Msomi mwenye akili na busara. Ana akili, anajua kujiratibu. Yuko focussed. Hana makundi na huyu angetufaa sana Jamhuri ya Muungano baada ya mama Samia. Atakuja kusafisha mioyo iliyopondeka na kuiendeleza Tanzania ya Amani tena baada ya mama yetu kumalizia muda wake.
Mimi sina uvyama maana sina chama ila ninahitaji Rais wa kutuponya Tanzania kwenye baadhi ya maeneo. Yaani tupone tunyanyanyuke na utanzania wetu usiyokuwa tena na:
1. Ukanda na Ukabila.
2. Kesi na manyanyaso.
3. Kuheshimu sheria na taratibu.
4. Kuongoza na Katiba iliyoboreshwa.
5. Kuheshimu Demokrasia ya vysma vingi maana vipo kisheria.
6. Watu wasipotee tena na wasipatikane milele.
7. Kutoadhibu watu kwa fitina na wivu ikisindikizwa na kesi za hukumu uchumi na utakatishaji pesa zenye mashaka.
8. Yako mengi ya kurekebisha na kuponya mioyo ya familia zilizoguswa na mambo mengi mno ya utata.
Nikihakikishieni Mh. Mwinyi ameshaanza kuiponya Zanzibar na ndani ya miaka mitano tutajionea wenyewe huko Zanzibar.
Mama Yetu Mh. Rais Samia Suluhu ninaona kabisa utatuvusha na tunyanyuke tena kwenye baadhi ya maeneo. Hotuba yako ya kuapishwa ilitupa matumaini sana. Mungu akupe nguvu ya kututumikia.
Rais Hussein Mwinyi ni chuma cha pua kile. Msomi mwenye akili na busara. Ana akili, anajua kujiratibu. Yuko focussed. Hana makundi na huyu angetufaa sana Jamhuri ya Muungano baada ya mama Samia. Atakuja kusafisha mioyo iliyopondeka na kuiendeleza Tanzania ya Amani tena baada ya mama yetu kumalizia muda wake.
Mimi sina uvyama maana sina chama ila ninahitaji Rais wa kutuponya Tanzania kwenye baadhi ya maeneo. Yaani tupone tunyanyanyuke na utanzania wetu usiyokuwa tena na:
1. Ukanda na Ukabila.
2. Kesi na manyanyaso.
3. Kuheshimu sheria na taratibu.
4. Kuongoza na Katiba iliyoboreshwa.
5. Kuheshimu Demokrasia ya vysma vingi maana vipo kisheria.
6. Watu wasipotee tena na wasipatikane milele.
7. Kutoadhibu watu kwa fitina na wivu ikisindikizwa na kesi za hukumu uchumi na utakatishaji pesa zenye mashaka.
8. Yako mengi ya kurekebisha na kuponya mioyo ya familia zilizoguswa na mambo mengi mno ya utata.
Nikihakikishieni Mh. Mwinyi ameshaanza kuiponya Zanzibar na ndani ya miaka mitano tutajionea wenyewe huko Zanzibar.
Mama Yetu Mh. Rais Samia Suluhu ninaona kabisa utatuvusha na tunyanyuke tena kwenye baadhi ya maeneo. Hotuba yako ya kuapishwa ilitupa matumaini sana. Mungu akupe nguvu ya kututumikia.
Kabudi is Genius