MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #41
Absolutely Rubbish!!Ugonjwa wako upo hapa nilipo-bold...
Tiba: fanya mazoezi ya ku-manage "emotions" zako kwa kufanya meditation mara kwa mara! Una mihemuko sana na hapo unayemtukana hata humfahamu, je majirani zako na marafiki?
Tofauti yako na nguruwe ipo kwenye kutawala hisia zako, kama huwezi basi wewe na mnyama hamna tofauti!
Atakuwa anakunyima hela akija kwa baba yako ninavyokutafakali wewe!πππPumbavu sijaanza Kumfuatilia Waziri Profesa Kabudi leo na sasa kwa Kukusaidia pia ni Rafiki mkubwa sana wa Baba yangu Mzazi na hizo Kasoro zake za Mistori mingi isiyo na Kichwa wala Miguu hata akija Kumsalimia Baba ( Mzee ) bado huwa ninaziona. Sema lingine tena sasa Mpuuzi Wewe.
rafiki wa baba yako ni pia ni baba yako kwahy ni sawa na umemkosoa baba yako tu.... anyway,kwa viongozi waliobaki chama tawala Prof.Kabudi namkubali sana huwa hacheki na kima.Pumbavu sijaanza Kumfuatilia Waziri Profesa Kabudi leo na sasa kwa Kukusaidia pia ni Rafiki mkubwa sana wa Baba yangu Mzazi na hizo Kasoro zake za Mistori mingi isiyo na Kichwa wala Miguu hata akija Kumsalimia Baba ( Mzee ) bado huwa ninaziona. Sema lingine tena sasa Mpuuzi Wewe.
Toto halina adabu hili,maana kama ni rafiki wa baba yake basi hata baba yake yuko hivyohivyo,maana ukitembea na mwizi nawe ni kibaka tuu!rafiki wa baba yako ni pia ni baba yako kwahy ni sawa na umemkosoa baba yako tu.... anyway,kwa viongozi waliobaki chama tawala Prof.Kabudi namkubali sana huwa hacheki na kima.
AiseeKwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi.
Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo Muhimu yote pamoja na Msisitizo isiyochosha ambayo imechukua dakika 15 tu ukamaliza.
Natamani mno Profesa Kabudi aje akuone ili uweze Kumfundisha kutoa Hotuba fupi, zisizoboa na zenye mambo irrelevant sana kwa Maisha yetu ya sasa na nyakati hizi tulizopo ambapo kila Mtu anakimbizana na muda huku mambo nayo yakiwa ni mengi.
Atakuwa anakunyima hela akija kwa baba yako ninavyokutafakali wewe!πππ
Toto halina adabu hili,maana kama ni rafiki wa baba yake basi hata baba yake yuko hivyohivyo,maana ukitembea na mwizi nawe ni kibaka tuu!
rafiki wa baba yako ni pia ni baba yako kwahy ni sawa na umemkosoa baba yako tu.... anyway,kwa viongozi waliobaki chama tawala Prof.Kabudi namkubali sana huwa hacheki na kima.
Umeongea pumba tuu kwenye hii mada,ya mwinyi mbona nimekupa kongole iko vizuri!Hii ndo umechemka kumkosoa rafiki wa baba yako kupitia Jf!Je, nimemgusa Basha wako nini Ndugu?
Umeongea pumba tuu kwenye hii mada,ya mwinyi mbona nimekupa kongole iko vizuri!Hii ndo umechemka kumkosoa rafiki wa baba yako kupitia Jf!