Yaliisha mkuu. Sielewi hili tatizo jipya lilipotoka
Kama ndio tatizo nadhani naweza kuwa na ufumbuzi wake bila shaka.Poole nyege hzo
Kweli toka nikosee kununua vocha basi nikifanya kitu nafanya mara mbili mbili nahakikisha lakini wapi. Kila nikitaka kufanya kitu cha hela naanza kuwaza nisije nikakosea. Sasa hii ya sasa hivi imenikera zaidi maana nimeangalia mara nne jamani na nimekosea.Jaman kati ya ulipokosea hazijanifikia hata kwa bahati mbaya(joking)
Pole mkuu jaribu kupunguza mawazo. Sema mawazo sio uzembe ukijilaumu uzembe utajenga ile hofu ya kufanya mipango ya pesa ukiogopa kukosea.
Am sure kuna kitu kinakusumbua na kukupa hofu,mawazo,kukosa raha jaribu kukigundua ni kipi hicho kisha anza mazoezi ya kusuluhisha tatizo ulilonalo utakua free.
Uzembe huwa haujirudii zaidi ya mara tatu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji8]Poole nyege hzo
hahaaaPoole nyege hzo