Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au nakusingizia wakunyumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ukame pia nilisoma kwenye ule uzi alicomment kuwa hajasex mda sana
Kwenye uzi ule ule kuna post alipost sasa kwa nini amekukatalia jaman we wakunyumba ebu mpe Nokia mautamu hayo akutoe hayo mawazo na kuchanganyikiwaSikuina huo uzi...mm nlimuomba nicheki mitambo akaniona hovyoo
@Nokia83 utake nini tenaNitampa
@Nokia83 utake nini tena
Sasa kama ulijuwa utaporwa kwanini ufikie hatuwa ya kutaka kujimaliza siungefanya maandarizi sehem fulani ili siku ukiporwa tayali unakuwa na sehem nnyingineWe acha tuuh..! Si kwa chura ile juliet nilijua nitaporwa tuuh..!
Dah...shukuru umeumbwa mwanamke....ingekuwa kwa mwanaume hiyo koseakosea ingekuletea aibu kubwa [emoji13]Juzi Jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye Max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine.
Leo asubuhi nilikuwa namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi siku 3 irudishwe hiyo hela maana ilikua ni hela ya dogo nimepewa na mtu nimpe ikapitishwa kwangu.
Kinachoniuma zaidi ni sasa hivi nilikua nalipia tena king'amuzi nimekosea namba elfu 69 yangu imeenda na maji.
Inawezekana nina mawazo sana bila kujijua ndo maana nakosea sana au nimekua mzembe tu?
Maana hali hii si kawaida kabisa