Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

We acha tuuh..! Si kwa chura ile juliet nilijua nitaporwa tuuh..!
Sasa kama ulijuwa utaporwa kwanini ufikie hatuwa ya kutaka kujimaliza siungefanya maandarizi sehem fulani ili siku ukiporwa tayali unakuwa na sehem nnyingine
 
Njoo nikuombee , hilo pepo litoke
 
Kama hujui kama ni mawazo ama lah means huna mawazo so itakuwa ni uzembe ama bahati mbaya imetokea tu kuna kipindi unajikuta mtu una bahati mbaya kwa mambo fulani ttuu..
 
Juzi Jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye Max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine.

Leo asubuhi nilikuwa namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi siku 3 irudishwe hiyo hela maana ilikua ni hela ya dogo nimepewa na mtu nimpe ikapitishwa kwangu.

Kinachoniuma zaidi ni sasa hivi nilikua nalipia tena king'amuzi nimekosea namba elfu 69 yangu imeenda na maji.

Inawezekana nina mawazo sana bila kujijua ndo maana nakosea sana au nimekua mzembe tu?

Maana hali hii si kawaida kabisa
Dah...shukuru umeumbwa mwanamke....ingekuwa kwa mwanaume hiyo koseakosea ingekuletea aibu kubwa [emoji13]
 
Back
Top Bottom