Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Pole sana..ningekuwa nauhakika wewe ni Ke ningeku-mpesa bt sina uhakika.
 
pia nadhani utakuwa una pesa nyingi ndio maana unakosea.. kwa maskini sidhani kama anaweza kukosea
 
Utakuwa una pesa nyingi labda na sadaka utoi kanisani/ mskitini
 
Mimi juzi nimetuma 990,000/= kwa intension ya kumtumia mtu yupo kenya nimeshindwa ata kufikiria itahitajika code number..uzuri aliyeipata hajasajiliwa..ayo ni mawazo..yan una mambo mengi kichwan na hujafanya refleshment mda mrefu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…