Haamini lakini pia ana mwanamke mwingine mpaka akamuombea mabaya nakumbuka ule uzi
Tafuta dark chocolate zinasaidia kuboost brain sanaYaliisha mkuu. Sielewi hili tatizo jipya lilipotoka
Nibadili nini? Kama umeona kuna tatizo na unategemea mtu mwingine alione mwenyewe unakua umemsaidiaje?Your 28 years old now,,,nimesoma jinsi unavyojibu,sikuhukumu ila inabidi ubadili mfumo wako wa kufikiri na maisha,,,all the best
Na ukame pia nilisoma kwenye ule uzi alicomment kuwa hajasex mda sanaHehehe tatizo sio ukame basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuombea wakunyumba ukuje umpate mwanaume aliye sahihi kwakoNa tumeachana rasmi. Jimbo liko huru kabisa. Sema mie nilivyo na roho gumu hadi kumpata mwakilishi sijui itakua lini
Sali sana my dearNibadili nini? Kama umeona kuna tatizo na unategemea mtu mwingine alione mwenyewe unakua umemsaidiaje?
Ahahahah genye zikizidi wakunyumba ni shida sanaSina pa kumpata wakunyumba. Nitafutie basi naona genye zimezidi kweli
Na maombi pia anahitaji mkuuPoole nyege hzo