Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

Sio jamaa hamwamini yule jamaa ana mwanamke mwingine
Na tumeachana rasmi. Jimbo liko huru kabisa. Sema mie nilivyo na roho gumu hadi kumpata mwakilishi sijui itakua lini
 
Your 28 years old now,,,nimesoma jinsi unavyojibu,sikuhukumu ila inabidi ubadili mfumo wako wa kufikiri na maisha,,,all the best
 
Mkuu , sio mawazo wala uzembe, bali unahitaji maombi , unaonekana umepungukiwa na utukufu wa mungu

njoo nikuombee kesho,usihofu kwani maombi nikwa mtu mmoja mmoja na kwa siri sana
 
Back
Top Bottom