Ni mawazo yamenizidi au uzembe?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inawezekana kweli ujue
[emoji23] [emoji23] Sidhani kama nitasita kutoa tiba ya tatizo kama hili.
 
Kwamba ndo pesa zitarudi au atanipa maneno matupu?
ishu ya pesa shughulikia kwanza ukiimaliza (kama itawezekana) ndio uende kwa msaikilojia ili akusaidie tatizo lako la mawazo na kukosa umakini lisijirudie siku za baadae..

Naamini ukipewa huo ushauri utabadilika kadiri siku zinavyokwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…