Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Poleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta kuna Uzi humu unaongelea madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu.Hilo tatizo lako ni moja kati ya madhara mengi yanayoweza kukukuta.Hayuko
Tafuta msaikolojia akusaidieSawa
Karibu mpenziAsante [emoji52]
Najaribu kuwaza naona kama uko sawa.
Jitahidi uwe una Fanya inaweza kukusaidia somehow ingawa mie sio mtaalam sana wa mambo hayoSio hata muda mrefu kihivyo lakini.
[emoji23] [emoji23] Sidhani kama nitasita kutoa tiba ya tatizo kama hili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Inawezekana kweli ujue
Jiongeze tu but kuwa makini.Sasa ntafanya na nani mkuu na babe yuko mbali?
ishu ya pesa shughulikia kwanza ukiimaliza (kama itawezekana) ndio uende kwa msaikilojia ili akusaidie tatizo lako la mawazo na kukosa umakini lisijirudie siku za baadae..Kwamba ndo pesa zitarudi au atanipa maneno matupu?
Bado tatizo hilo alijaisha tafuta namna ya kulimaliza.Yaliisha mkuu. Sielewi hili tatizo jipya lilipotoka