kati ya vitu vinavyonishangaza ni kitendo cha viongozi wa nchi za kiafrika kwenda kutembeza bakuri huko kwa mabeberu hata kama na wao vyuma vinakuwa vimewakazia
nakumbuka mwaka 2007 kipindi kile cha financial crisis ya kule marekani mzee wa msoga hakukoma kwenda kuomba omba pesa kule kwa Obama
Hata sasa ukifuatilia nchi nyingi za mabeberu uchumi wao umeharibiwa vibaya na covid-19 plus vikwazo walivyojiwekea wenyewe juu ya Urusi lakini cha ajabu bunge limekaa huko Dodoma likipitisha budget ambayo asilimia zaidi ya 40 inategemewa kuchangiwa na hawa hawa jamaa ambayo kwa sasa vyuma vimewataiti kwelikweli
Sasa najiuliza ni mbinu gani ambazo serikali za kiafrika zinatumia kwenda kuomba msaada misibani huko Ulaya