Kuna hatari unapotumia takwimu za computer au kura za watu pekeeTaja huo mtandao, tuujue, mana mitandao yenye kuheshimika wamempa Novatus
Sawa, ila hawawez kuwa 4 POTM, hivyo kitendo cha kumchagua Novatus lazima kuna vigezo wamecheki, na huwez nambia mitandao yote wakosee, haya tuassume hatuwaamin Fotmob, nambie nani tumuamini?Hizo ziko computer generated au wakati mwingine zinaweza kuwa biased na wapigaji kura wenyewe. Na kama kigezo ni rating nimekuonyesha hiyo hiyo FOTMOB wameonyesha wachezaji 3 wana rating sawa na Novatus.
View attachment 2743205
View attachment 2743206
Yan mzee unataka unambie ile kazi zilizofanywa mle ndani ndio rating ya 3? Au 4 hizo za wa Algeria? Huo mtandao haupo serious, No wonder haufahamikiKuna hatari unapotumia takwimu za computer au kura za watu pekee
Ona huu mtandao umetoa top ratings hizi kwa kutumia kura za watu zaidi ya 13,000
Kwa upande wa Algeria
View attachment 2743216
Top ratings kwa upande wa Tanzania
View attachment 2743217
Hao nadhani rating ya juu zaidi mchezaji anaweza kupewa ni 5, hawaendi hadi 10.Yan mzee unataka unambie ile kazi zilizofanywa mle ndani ndio rating ya 3? Au 4 hizo za wa Algeria? Huo mtandao haupo serious, No wonder haufahamiki
Jana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:
Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.
Pia huo mtandao wa AiScore umewapa wachezaji 4 wa Algeria rating kubwa kumzidi Novatus, sasa atakuwaje man of the match?Fotmob wamempa Novatus man of the match, sofascore pia, AI score pia, kwa hio nadhani alikuwa sahihi
Sawa, ila hawawez kuwa 4 POTM, hivyo kitendo cha kumchagua Novatus lazima kuna vigezo wamecheki, na huwez nambia mitandao yote wakosee, haya tuassume hatuwaamin Fotmob, nambie nani tumuamini?
Leta hio website unayosema mchezaji mwenye rating ndogo zaidi wa Algeria ana rating kubwa kuliko mchezaji mwenye rating kubwa ya Tz
Aliniboa kwa tabia yake ya kuchelewesha mipira kisengerema..!! Hadi akalimwa kadiMzamiru yassin selembe kiungo Punda.
Kigoma Moja.
Hawa wamanyema ni mwisho WA Reli.
Heshima ya mbwana ally samatta tunampa na maua yake tunamkabidhi. ila pamoja na kwamba ni mchezaji mzuri kiwango chake binafsi hakiniridhishi,Feisal hajawahi kufanya maajabu kimataifa iwe taifa staz, yanga na sasa azam hata hasipokuwepo hakuna pengo lolote. Kuhusu samata katubeba sana kipindi ambacho umri wake ulikua unaruhusu tatizo pro alikua peke yake ila kwa sasa umri ushamtupa mkono akiwa taifa staz lazima acheze kwa tahadhari kuepuka majeruhi ili kulinda kibarua chake ulaya. Hata angekua Cristiano Ronaldo asingeweza kutufikisha mbali peke yake kwaiyo Samata tumpe heshima yake.
Feindambi hujaona kitambi kile? hawezi cheza mpiraMbwana ally samatta na feisal salum wanajisikiaje kukosa mechi ya Jana.
πππππ Watanzania mna utani wa ngumi...?Feindambi hujaona kitambi kile? hawezi cheza mpira
Kachezea wapi? Mambo mengine ni kumtusi mkidhani mnamsifiaJana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:
Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.
Feisal angecheza tungefungwaMbwana ally samatta na feisal salum wanajisikiaje kukosa mechi ya Jana.
Kwanini tungefungwa mkuu, hata kwa dakika 55 angecheza baadaye abadishwe. ( Sub )Feisal angecheza tungefungwa
Tungefungwa tuKwanini tungefungwa mkuu, hata kwa dakika 55 angecheza baadaye abadishwe. ( Sub )
Pumbavu kabisaJana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:
Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.
Hiki kigagula kinatakiwa kuwahishwa MirembeHuwa tunawaambia huyu Ajuza kipa katoka mnamtetea. Haya Sasa bado mnabisha kuhusu ubovu wa Afya wake ya akili?
Naona wanasiasa wanalazimisha kutumia mafanikio ya soccer kupata umarufu.Jana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:
Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.