Jackson996
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 773
- 1,355
Madame nisamehe tusi limenitoka la kimoyo moyo apaJana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:
Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.
Huu ufala ulisababisha tufungwe na Uganda pale TaifaJana mchezaji mmoja tu wa Tanzania kacheza kuliko wote na ndiye ametuvusha hatuwa hii:
Mama Samia ndiye aliyeucheza mpira wa jana. Kacheza peke yake, tumpe mauwa yake.
Huyu kocha simuelewi kabisa.Tunajifariji tu ila taifa stars bado sana
Mada jana wewe unaleta ushuzi.Huu ufala ulisababisha tufungwe na Uganda pale Taifa
Tukana tu niku ripoti, tunafahamu mtu mwenye mawazo finyu akikosa hoja anaanza matusi.Madame nisamehe tusi limenitoka la kimoyo moyo apa
Umri ushaenda mkuu yupo 30+ sasa hivi tena iyo ni miaka ya soka hatujui miaka yake halisi. Umri wake kabakisha miaka michavhe ya kuvheza soka na akipata majeruhi kupona inachukua muda mrefu inamlazimu aangalie wapi anaingiza mkwanja mrefu ndipo apeleke juhudi zaidi uko. Lazima ajiandalie mazingira baada ya kustaafu.Heshima ya mbwana ally samatta tunampa na maua yake tunamkabidhi. ila pamoja na kwamba ni mchezaji mzuri kiwango chake binafsi hakiniridhishi,