Ni mchungaji yupi alikusaidia kutatua changamoto zako ana kwa ana zilizokuwa zimekushinda kabisa?

Shida sana yaani badala ya kumtafuta Mungu mnamtafuta mchungaji
Warumi 1:28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
 
Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhudanomb

Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhuda
Ahssante mkuu, kama una namba yke naomba unisaidie ndugu
 
Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhuda
Una maana gani kusema hana mafuta?
Unajua maana ya kuwa na mafuta?
 
Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhuda
Kwa hiyo ni yeye anaesaidia watu au huyo Yesu alienane?
Maana swali linauliza mchungaji gani anasaidia watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…