Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Warumi 1:28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.Shida sana yaani badala ya kumtafuta Mungu mnamtafuta mchungaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi 1:28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.Shida sana yaani badala ya kumtafuta Mungu mnamtafuta mchungaji
HakikaWarumi 1:28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhudaKaribuni wakuu
Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhudanomb
Ahssante mkuu, kama una namba yke naomba unisaidie nduguMchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhuda
Yuko wapi?Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhuda
Una maana gani kusema hana mafuta?Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhuda
Kwa hiyo ni yeye anaesaidia watu au huyo Yesu alienane?Mchungaji katunzi, eagt city center florian katunzi,mchunfaji sahihi ,hana mafuta wala nini ila Yesu anayea aisee nenda pale utatoa ushuhuda