Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Hizo point zitapatikana sema jingine! Maana mbumbumbu mmekomaa na yanga mnasahau yanga ndiyo timu Bora kuliko zote ukanda huu wa afrika MASHARIKI KWA Sasa sio timu ya ungaunga mwana Kama timu yenu, soka wanalicheza kokote pale aijalishi ugenini ama nyumbani ivyo mtulize mikebe yenu!Yanga sio tu anatakiwa kuifunga CRB kwa Mkapa, anatakiwa kwenda kutoa sare au kumfunga Ahly kule Misri, la sivyo ni out
Anahitaji pointi 4 kutoka hizi mechi mbili zilizobaki
Unajua maana ya kuzidiwa? Kuzidiwa ni kama vile Simba alivyopakatwa 5.Mbona yanga alizidiwa na warabu wa misri hapo kwa mkapa kwa takwimu zote?
Au huufuatilii mpira
Kaka umenena, mimi nashangaa kuonaga wanaume wenzetu wakitumia emoj. Dunia imebadilika sana.Mtoto wakiume unaonesha emoj za kucheka utaingiziwa vigunzi matakoni, kama mwanaume anaandika unashangaa kwa emoj tafuta mashoga wenzio utawaelewa.
Alichokipata medeama, ndicho anakutana nacho CR, yule mwarabu naiona harufu ya kupigwa 5.Sawa ni football brother, hakuna shida, Alhaly mwenyewe thenyewe ni best team ina point 5 itakuwa YANGA????? Hapa sasa ndio ujue kwenye kundi lao hakuna mnyonge point za vibaba sio kama kundi la simba kundi la simba wakwanzanapoint 10 Ila kundi la YANGA Watu waliitabiria yanga kwamba kwenye haya mashindano watakuwa vibonde huo ukibonde wewe shahidi je performance yao kwenye kundi yanga nikibonde??? Ukiona kundi points nizavibaba basi jua kabisa kundi nilawanaume watupu. Yanga walisema ataishia wamwisho kwenye kundi watu watajipigia Ila mziki aliouonesha nadhani hata wao wamerudi nyuma kuitafakari. Na nikwambie CR mwenyewe anakuja kwa makapa sio kuchota point kizembe tuu kama kwao apige kabumbu kweli kweli. Namalizia kwa kusema yanga sio kinyonge tofauti na watu walivyokuwa wanasema.
Mpira ni 3 au 1 point(s) na kufikia malengo hata kama timu imeongoza kwa ball possession, coners, shots accuracy, shots on targets, set pieces, players and Coach disciplines bado ni sawa na bure tu kwa full time "90 minutes".Mbona yanga alizidiwa na warabu wa misri hapo kwa mkapa kwa takwimu zote?
Au huufuatilii mpira
Bila Mbeleko ya Mediama kule kwao kwa red card na kukataa goli la wazi Yanga hadi sasa angekuwa na clear 7 points.Sawa ni football brother, hakuna shida, Alhaly mwenyewe thenyewe ni best team ina point 5 itakuwa YANGA????? Hapa sasa ndio ujue kwenye kundi lao hakuna mnyonge point za vibaba sio kama kundi la simba kundi la simba wakwanzanapoint 10 Ila kundi la YANGA Watu waliitabiria yanga kwamba kwenye haya mashindano watakuwa vibonde huo ukibonde wewe shahidi je performance yao kwenye kundi yanga nikibonde??? Ukiona kundi points nizavibaba basi jua kabisa kundi nilawanaume watupu. Yanga walisema ataishia wamwisho kwenye kundi watu watajipigia Ila mziki aliouonesha nadhani hata wao wamerudi nyuma kuitafakari. Na nikwambie CR mwenyewe anakuja kwa makapa sio kuchota point kizembe tuu kama kwao apige kabumbu kweli kweli. Namalizia kwa kusema yanga sio kinyonge tofauti na watu walivyokuwa wanasema.
Kwahiyo yanga alivyokandwa 3 bila kule uarabuni alizidiwa?Unajua maana ya kuzidiwa? Kuzidiwa ni kama vile Simba alivyopakatwa 5.
Kwenye mpira, kuzidiwa ni kupoteza point 3. Sasa kama inadhani ni lazima ziwe goli 5, inabidi utueleze kama kuna utofauti wa point unaopatikana kwa kushinda goli nyingi au chache.Unajua maana ya kuzidiwa? Kuzidiwa ni kama vile Simba alivyopakatwa 5.
Na Simba ni vipi? Tupe naye anatakiwa nini.Yanga sio tu anatakiwa kuifunga CRB kwa Mkapa, anatakiwa kwenda kutoa sare au kumfunga Ahly kule Misri, la sivyo ni out
Anahitaji pointi 4 kutoka hizi mechi mbili zilizobaki
Kumfunga Galaxy, sare na AsecNa Simba ni vipi? Tupe naye anatakiwa nini.
Zipatikane kwanza ndio ubwabwajeHizo point zitapatikana sema jingine! Maana mbumbumbu mmekomaa na yanga mnasahau yanga ndiyo timu Bora kuliko zote ukanda huu wa afrika MASHARIKI KWA Sasa sio timu ya ungaunga mwana Kama timu yenu, soka wanalicheza kokote pale aijalishi ugenini ama nyumbani ivyo mtulize mikebe yenu!
Kabisa mkuu lile goli tungeshinda kwa mediama tungekuwa tunaongoza kundi aiseeeBila Mbeleko ya Mediama kule kwao kwa red card na kukataa goli la wazi Yanga hadi sasa angekuwa na clear 7 points.
Yanga wajifunze kwa Makolokolo SC kucheza nnje ya uwanja maana mpira wa Africa huwa unajulikana hauendi bila magumashi hata kama una timu bora kabisa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app