Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe ni mmoja waoNi ukweli mkuu
Hamnazo ww Yanga vs Al ahly ilichezwa 2023 mbona unajitoa ufahamuUnaona mnasomaga haraka kama wapumbavu hapa sizungumzii miaka hiyo pumbafu wewee nazungumzia 2023 pekee maswala ya takwimu nani kasema nazungumzia Takwimu hapa, zungunzia 2023 mwarabu gani kamtesa yanga kwa mkapa. Msiwe mnakurupuka.
Kuna watu sijui mnakula nini ndiyo mkaja humu kupost.Tukubali tukatae yanga ya sasa siyo kinyonge aisee, kuna mashabiki wakati yanga inapoteza nyumbani kwa CR, watu wengi sana walisema yanga atamaliza kundi wamwisho na hatopata point(poor mindset) kwamba wapinza watajichapia mwanzo mwisho hii ni mentality ya USIMBA NA UYANGA (KUBEZANA).Kila Yanga inachokifanya watu wanaleta ujuaji. medeama watu walianza "moto wa medeama yanga watauweza?
Wamemfunga CR sijui ijiandae kisaikolojia" Haya imekwenda huko kwako imetoka sale, kaja hapa medeama huyo huyo aliyekuwa anasifiwa sanaaa katepeta nje ndani, sasa hivi wanaleta tena ushabiki kwamba yanga itamuweza CR Sijui itamfunga kwa mkapa? Sasa makosa yaliyofanyika mara ya kwanza kule kwa CR unadhani yatajirudia? CR anakitu gani kikubwa cha kutokufungwa na Yanga?
Shida yetu watanzani upumbavu umezidi yani mtu badala akubali yanga performance yao ipo vzr kila hatua anayopiga lazima aletewe dharau ya vikwazo. "Mnaweza kumfunga CR kwa Mkapa?" asifungike ye nani? Kwenye mechi za yanga zoote alizocheza yanga kuna mechi ambayo alizidiwa kabisa kashindwa kucheza? Yoyote ile? Ambayo ameperfom vibaya?
Tuache ushabiki wakipumbavu na tuwe tunakubali vyakwetu hata kimya kimya, yanga ingekuwa niyazimbabwe hukoo mngeikubali Ila sababu ni ya Tanzania basi lazima ipewe vikwazo. Hata kama hawatofungwa CR Ila msitegemee yanga itakuwa mdebwedo CR wapige kambumbu kweli kweli kama kafungwa na Medeama ambae yanga kamchezesha kama mtoto CR ninani? Tuache stupid mindset kila siku kuongea kwa vikwazo bila kuikubali yanga performance yao ipo vzr sio mnyonge kwenye kundi wala haya mashindano yanga sio mnyonge wanaijua vzr tokea haya mashindano yalipoanza mwaka huu 2023, haijawa kinyonge sana kwenye performance. Na mechi yake yakwanza wangetoka suluhu na CR unadhani CR angekuwa kwenye wakati mgumu kiasi gani sema ni football tuu ukifanya mistake mpinzanj anatumia nafasi. nje na hapo nikiona mtu anaibeza au kutokuivalue yanga kwa performance yao kwenye haya mashindano basi namuona huyo mtu ni stupid na mindset yake imejaa upinzani tuu na sio reality ya mpira anayoipiga yanga kwa sasa.
Mimi sio Simba wala Yanga naongea kifootball zaidi watanzania tuache ujinga akilini mwetu tuvalue timu zetu. Simba kwa sasa baada ya kocha kurudi wamerudi na mood kubwa sana wapo vzr pia performance imeongezeka maradufu wakijitahidi robo hii hapa kwao. All the best both.
Sema Yanga haiaminiki.Tusubiri mechi zijazo tuache maneno mengi.
Timu zetu haziaminiki.
Kibonde kabisa.mechi tatu moja kapigwa mbili ni kupigwa na kuhangaikia suluhu.Sawa ni football brother, hakuna shida, Alhaly mwenyewe thenyewe ni best team ina point 5 itakuwa YANGA????? Hapa sasa ndio ujue kwenye kundi lao hakuna mnyonge point za vibaba sio kama kundi la simba kundi la simba wakwanzanapoint 10 Ila kundi la YANGA Watu waliitabiria yanga kwamba kwenye haya mashindano watakuwa vibonde huo ukibonde wewe shahidi je performance yao kwenye kundi yanga nikibonde??? Ukiona kundi points nizavibaba basi jua kabisa kundi nilawanaume watupu. Yanga walisema ataishia wamwisho kwenye kundi watu watajipigia Ila mziki aliouonesha nadhani hata wao wamerudi nyuma kuitafakari. Na nikwambie CR mwenyewe anakuja kwa makapa sio kuchota point kizembe tuu kama kwao apige kabumbu kweli kweli. Namalizia kwa kusema yanga sio kinyonge tofauti na watu walivyokuwa wanasema.
Time will tellSema Yanga haiaminiki.
Hasira na kisirani ukijumlisha na ule mwiko nyuma unakoroga mamboNgoja kwanza. Mbona mitusi mingi hapa?
Atatembeza bahasha atapita😂😂😂Yanga sio tu anatakiwa kuifunga CRB kwa Mkapa, anatakiwa kwenda kutoa sare au kumfunga Ahly kule Misri, la sivyo ni out
Anahitaji pointi 4 kutoka hizi mechi mbili zilizobaki
Kwahiyo hujui advantage ya kuwa na goli nyingi?Kwenye mpira, kuzidiwa ni kupoteza point 3. Sasa kama inadhani ni lazima ziwe goli 5, inabidi utueleze kama kuna utofauti wa point unaopatikana kwa kushinda goli nyingi au chache.
Watu wengine mpira mnalazimisha tu, tulieni ndani mkate nyanya jikoni.
Mkuu hamna hata haja ya kujieleza sana kwa hawa makolo wazee 5imba,hao wanajulikana ni wazee wa roho mbayaSawa ni football brother, hakuna shida, Alhaly mwenyewe thenyewe ni best team ina point 5 itakuwa YANGA????? Hapa sasa ndio ujue kwenye kundi lao hakuna mnyonge point za vibaba sio kama kundi la simba kundi la simba wakwanzanapoint 10 Ila kundi la YANGA Watu waliitabiria yanga kwamba kwenye haya mashindano watakuwa vibonde huo ukibonde wewe shahidi je performance yao kwenye kundi yanga nikibonde??? Ukiona kundi points nizavibaba basi jua kabisa kundi nilawanaume watupu. Yanga walisema ataishia wamwisho kwenye kundi watu watajipigia Ila mziki aliouonesha nadhani hata wao wamerudi nyuma kuitafakari. Na nikwambie CR mwenyewe anakuja kwa makapa sio kuchota point kizembe tuu kama kwao apige kabumbu kweli kweli. Namalizia kwa kusema yanga sio kinyonge tofauti na watu walivyokuwa wanasema.
Hoja uliyoleta ni kwamba, team kuzidiwa uwanjani ni lazima iwe imefungwa magoli kuanzia matano.Kwahiyo hujui advantage ya kuwa na goli nyingi?
Acha uchokoonozi mkuunduguMashabiki maandazi nyie pumbafu kabisa, utachomekwa oombo... Shauri yako
Utopolo mnaludi kulima viaziHizo point zitapatikana sema jingine! Maana mbumbumbu mmekomaa na yanga mnasahau yanga ndiyo timu Bora kuliko zote ukanda huu wa afrika MASHARIKI KWA Sasa sio timu ya ungaunga mwana Kama timu yenu, soka wanalicheza kokote pale aijalishi ugenini ama nyumbani ivyo mtulize mikebe yenu!
Nafasi yenu niya 3 au 4 . Endeleeni kugombania na mediama. Hii ya pili mnakaimu tu kwakuwa CRB na Ahly hawajacheza.Sasa nimeiacha vipi ndugu, umeusoma uzi vzr na kichwa cha habari? Hapa sisemei timu bora kwenye kundi, naizungumzia yanga ya Tanzania pekee. kutokana na mashabiki wa mpira kuibeza kwamba haina mpira wowote watapigwa kwenye kundi watakuwa wamwisho Ila shughuli waneiona na sasa baada ya kusema yanga atachapwa na Medeama nje ndani baada ya CR kufungwa kwa Medeama nyumbani sasa yanga kamaliza shughuli nje ndani wanachange gia angani kwamba yanga ataifunga CR kwa mkapa? CR ninani hadi asifungike? Yanga sio kinyonge kama watu walivyosema ndio point yangu
medeama na utopolo ni pipa na mfuniko.wote wabovu.Ukweli lazima usemwe mkuu, yanga si ilibezwa ikaambiwa yamwisho kwenye kundi sasa imewaprove wrong kabisa kuwa sio kibonde