mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Yanga nyinyi ndio mlikuwa na midomo mirefu baada ya kuona Simba kapata droo na Al-Ahall nje ndani mkasema Al-Ahall ni unga watapigwa nje ndani, Sasahivi baada ya kuona mambo magumu mnaanza kujifariji eti Yanga alitabiriwa kuwa kibonde,pambaneni mkafike finally kama mwaka jana acheni blablaa.Ukweli lazima usemwe mkuu, yanga si ilibezwa ikaambiwa yamwisho kwenye kundi sasa imewaprove wrong kabisa kuwa sio kibonde