Ni mechi gani ya CAF champions 2023 Yanga imecheza na kuzidiwa? Ukiacha ile ya CR aliyofanya mistake akufungwa?

Unaona mnasomaga haraka kama wapumbavu hapa sizungumzii miaka hiyo pumbafu wewee nazungumzia 2023 pekee maswala ya takwimu nani kasema nazungumzia Takwimu hapa, zungunzia 2023 mwarabu gani kamtesa yanga kwa mkapa. Msiwe mnakurupuka.
Hamnazo ww Yanga vs Al ahly ilichezwa 2023 mbona unajitoa ufahamu
 
Kuna watu sijui mnakula nini ndiyo mkaja humu kupost.
 
Kibonde kabisa.mechi tatu moja kapigwa mbili ni kupigwa na kuhangaikia suluhu.

Wewe si kibonde nyau wewe.

Kabla ya mechi ya jana mbona hukuandika haya?

Mazwazwa ya utopoloni bhana.

Shirikisho ndiyo kuna wenzenu, saizi yenu.
 
Yanga sio tu anatakiwa kuifunga CRB kwa Mkapa, anatakiwa kwenda kutoa sare au kumfunga Ahly kule Misri, la sivyo ni out

Anahitaji pointi 4 kutoka hizi mechi mbili zilizobaki
Atatembeza bahasha atapita😂😂😂
 
Wanaoibeza YANGA wenyewe wana mpira gani wanaocheza?. Tuwe tu wakweli Kuna timu inayoifikia hata robo YANGA kwa hapa bongo?.
Hao wana strees sana wanajaribu kuzipunguzia kwa YANGA+utoto wao+kutojua mpira+umbumbumbu. Kwa hiyo wewe wasikilize,pita zako hawana jipya.
NB:-hilo kundi walilopo wao ingekuwa YANGA ingekuwa imeshafuzu kitambo
 
Kwahiyo hujui advantage ya kuwa na goli nyingi?
 
Mkuu hamna hata haja ya kujieleza sana kwa hawa makolo wazee 5imba,hao wanajulikana ni wazee wa roho mbaya
 
Kwanini tuiache mechi ya CR B [emoji23][emoji23][emoji23]kwasababu ni ya mapinduzi kapu au?
Huna akili
 
Kwahiyo hujui advantage ya kuwa na goli nyingi?
Hoja uliyoleta ni kwamba, team kuzidiwa uwanjani ni lazima iwe imefungwa magoli kuanzia matano.

Hizo habari za faida ya magoli mengi ni agenda ni nyingine tofauti kabisa.
 
Utopolo mnaludi kulima viazi
 
Nafasi yenu niya 3 au 4 . Endeleeni kugombania na mediama. Hii ya pili mnakaimu tu kwakuwa CRB na Ahly hawajacheza.
 
Ukweli lazima usemwe mkuu, yanga si ilibezwa ikaambiwa yamwisho kwenye kundi sasa imewaprove wrong kabisa kuwa sio kibonde
medeama na utopolo ni pipa na mfuniko.wote wabovu.
Mechi ya jana medeama wamecheza utumbo,japo mlisema wydad wabovu.ila wale wa jana hamjasema kuwa wabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…