Ni mechi zipi za soka hutozisahau kamwe?

world cup 1994 group stage, German vs Korea. game iliisha 3-2 German akiibuka mshindi. kwa kweli ile game korea walistahili ushindi. shot on target hazikupungua 20. walikuwa wanakimbiza mbaya wakikaribia 18 wanatandika mkwaju. German ile ndio mbovu kabisa kupata kutokea katika historia yao. wa likuja kuondolewa na Bulgaria
 
Kuna mechi moja, Ufaransa na Ureno, Refa anawapa ufaransa penati ambayo Zidane anaenda kupiga, Luis Figo akaamua kutoka mwenyewe nje.
 
korongoni FC vs Timu ya OWner wa ligi (FC SAQUIB).
Ilikuwa ni ligi ya kuku.
Fainali timu ya muanzisha ligi ilijumuisha kila nyota wa timu zote zilizotolewa katika mashindani. REFA alikuja nae. FC Korongoni tulikuwa watoto wa mtaani tumekusanyana tu HAkuna Superstar.

Tulicheza zaidi ya masaa mawili bila refa kumaliza mpira. Mvua ilinyesha ikaisha. Lengo jamaa wakituzidi Goli ndio mpira uishe, na sisi hatuko tayari kuzidiwa.
Mpira uliisha tukaongoza 19 kwa 16. baada ya refa kuchoka.

TUkapewa kuku mgonjwa jogoo jamaa wakaondoka nalo. Full uonevu.
 


hahahah ilikuwa wapi hiyo?
 
Nilikuwa Tabora Boys, Warambo walikuwa kama wanamgambo wa Intarahamwe

Ha ha haaa usilete ugonvi jukwaan ...haya Bwana ila ....umenikumbusha walitaka kunipiga kisa nmelala bwenini kwao na ile T-shirt ya Boys walikuwa hawaipendi....
 
Ilikuwa fainali ile dhidi ya Bayer Leverkusen ya akina Ballack, Berbatov, Lucio, Oliver Neuville na wengineoo

Thanks kaka....ilikuwa bayaern liverkusen au bayern munich? Hao wachezaji uliowalist ni km walikuwa bayern
 
Klabu bingwa Tanzania,Simba na Yanga nyamagana Mwana mwaka 1973. Yanga 2 Simba 1 hii ni mechi ya histolia
 
Klabu bingwa Tanzania,Simba na Yanga nyamagana Mwana mwaka 1973. Yanga 2 Simba 1 hii ni mechi ya histolia


Naskia hii ni mechi bora ya wakati wote, unaweza ukaieleza kidogo. Goli la ushindi alipiga Sunday Manara naskia.
 
Hiyo ni Bayer Leverkusen, baadae ndio walihamia Bayern Munich.

Thanx. Kumbe ni kweli bayern wanafitina sana na uwezo mkubwa wa kuziua timu zingine kwa kununua mastaa wa timu hizo. Ona walichoifanyia dortmund!!!!
 
Thanx. Kumbe ni kweli bayern wanafitina sana na uwezo mkubwa wa kuziua timu zingine kwa kununua mastaa wa timu hizo. Ona walichoifanyia dortmund!!!!

tabia yao wameanza muda sana. wanaua ushindani bundesliga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…