Hii inanihusu sana
Mkuu ulikuwa upande upi kipindi hicho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inanihusu sana
Mkuu ulikuwa upande upi kipindi hicho?
Stoke 6 - LIVERFOOL 1
jifunze kuandika dogo "nakufananisha"sikimbiagi wabovu...naku fananisha na liverpool Fc kwa ubovu..!!!
Man Utd 4 - 4 Everton
Hii ndo mechi iliotukosesha ubingwa ambao Man City alichukua kwa goli la dakika ya 93
korongoni FC vs Timu ya OWner wa ligi (FC SAQUID).
Ilikuwa ni ligi ya kuku.
Fainali timu ya muanzisha ligi ilijumuisha kila nyota wa timu zote zilizotolewa katika mashindani. REFA alikuja nae. FC Korongoni tulikuwa watoto wa mtaani tumekusanyana tu HAkuna Superstar.
Tulicheza zaidi ya masaa mawili bila refa kumaliza mpira. Mvua ilinyesha ikaisha. Lengo jamaa wakituzidi Goli ndio mpira uishe, na sisi hatuko tayari kuzidiwa.
Mpira uliisha tukaongoza 19 kwa 16. baada ya refa kuchoka.
TUkapewa kuku mgonjwa jogoo jamaa wakaondoka nalo. Full uonevu.
Nilikuwa Tabora Boys, Warambo walikuwa kama wanamgambo wa Intarahamwe
hahahah ilikuwa wapi hiyo?
Ilikuwa fainali ile dhidi ya Bayer Leverkusen ya akina Ballack, Berbatov, Lucio, Oliver Neuville na wengineoo
Thanks kaka....ilikuwa bayaern liverkusen au bayern munich? Hao wachezaji uliowalist ni km walikuwa bayern
Klabu bingwa Tanzania,Simba na Yanga nyamagana Mwana mwaka 1973. Yanga 2 Simba 1 hii ni mechi ya histolia
Hiyo ni Bayer Leverkusen, baadae ndio walihamia Bayern Munich.
Thanx. Kumbe ni kweli bayern wanafitina sana na uwezo mkubwa wa kuziua timu zingine kwa kununua mastaa wa timu hizo. Ona walichoifanyia dortmund!!!!