Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Anafuatilia Siasa za Bodi ya LigiNini kimemkuta huyu mwanafamilia wa jf?
Dah, sasa hilo ni zuri kwel mkuu?Uzuri wa jamii forums haina taarifa rasmi za wanachama wake walio wengi, kutokana na matumizi ya fake ID's! Kwa hiyo mtoa mada huna sababu ya kuumiza kichwa. Lolote lile linaweza kumtokea kwa upande wake.
Kwanini wamewakimbizaWasiojilikana wamekimbiza members wengi sana
Thanks Jose,. Mie nipo
LONG TIME NO SEEThanks Jose,. Mie nipo
Majukumu tu ila nipoLONG TIME NO SEE
Mie nipo kipenzi😊