Ni member gani JF huwa akileta uzi wa aina flani huwa anautendea haki?

KING 360

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,002
Reaction score
5,192
Wakuu hope mko poa,

Kuna watu humu JF huwa wanapatia sana wakileta nyuzi za aina flani namaanisha akileta nyuzi za namna hiyo uwa zinavutia sana kwa upande wangu ni hawa hapa;

1: Mshana Jr huyu jamaa kwa mada za kichawi na zakutumia lugha za picha huwa anaweza sana kama umezoea vitu vyepesi huwezi kumuelewa kabisa ana mada dizaini kama zakufikilika hivi.

2: Stunter [emoji1] [emoji1] huyu jamaa nyuzi ambazo huwa anazipatia ni za kuwakandia mademu hasa masistadu na alishalijua hilo ndio maana anakazia hapohapo,

3: Chief Mkwawa huyu maswala teknolojia hasa simu namkubali sana usiombe akawa ameandika mapungufu ya simu ulionayo anatoa data mpaka anaboa japo huwa ni ukweli mtupu.

4: Warumi huyu mtu mada za chini ya kapeti kutoka kwa wasanii nampendeaga za ubuyu wa mjini huwa anazipatia sana sijui huwa anaztoa wp japo kapunguza siku hizi.

The Bold dha huyu jamaa hapana chezea mada zake zote ni kali sijui anaztoaga wapi.

Endelea na wewe mkuu watu unaowakubali kwa mada zao za aina flani.
 
haa haa haaaaa, kuna LIZABONI pia haa haa haaaaaaaaaaaa!
 
Mshana Jr
Mwanahabari huru
Pasco wa Jf
Chakii
Ipycalypse

Kuna wengine wengi ila avator zao ngumu nashindwa andika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…