Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mmoja namkubali kwa mitusi na kashfa yaani nikiona tu post yake nasubiria kuona mitusi baadae.Gentamycine
Kwenye hili kundi ongezea na Roho Mbaya. Comments zao mara nyingi ni burudani tosha.Mimi huwa navutiwa na Jingalao pamoja na Stroke! Huwa wanajibu kama wamekatwa vichwa!
nani?Kuna mmoja namkubali kwa mitusi na kashfa yaani nikiona tu post yake nasubiria kuona mitusi baadae.
Usinitafutie balaa rudi nilipoqoutenani?
Tulia weweUsinitafutie balaa rudi nilipoqoute
Huyu jamaa aliwahi kunisimanga!Gentamycine