Si wanajikutaga hawajali.Yaani hizo thread zachosha sasa...sifa au upuuzi maana tayari ilishasemwa warudia tenaa
wewe nae avatar zako za kichokozi chokozi.Tenaaa hawachelewi kuchezesha makengeza yaooo[emoji57][emoji57][emoji57]
Hahahaaaa!! Wanapenda wake za watu masikini yarrabiiiSi wanajikutaga hawajali.
Badala watafute pesa....wanakuja kushindana kuanzisha thread
hahhahaha yani humu ukiwa mzee tafrani sasa watoto wabichi wataweza mikiki ya jfKwanza hawajui nyani mzee ndo kakwepa mishale mingi.
Kila kukicha mada zao tyuuuu!!!
Watupishe sie
Sasa je....wanajisifiaga huko mipenuni wakikutanaEeeeh nilkuwa sjui atii kumbe ni sifaaa
Si mnapenda vitu vizuriiwewe nae avatar zako za kichokozi chokozi.
Hahahaha ila mm nahisi wahenga wa kiume hawana hizo mambo [emoji23][emoji23]Sasa je....wanajisifiaga huko mipenuni wakikutana
Umeona eeeee.Wamekuwa wanawake kitabia ila kimaumbo wanaume
We kuna wahenga wana mambo ya kike acha tu.Hahahaha ila mm nahisi wahenga wa kiume hawana hizo mambo [emoji23][emoji23]
Wanazingua hawa...ujingaujinga ule ule kila siku...Mfyuuu
Si kasema ananipenda na mie nampenda mkuuhivyo tu yani, mbona jibu rahisi sana kwa hoja nzito?
Wanataka kulelewa.Hahahaaaa!! Wanapenda wake za watu masikini yarrabiii
Na vijoraaa wavaeUmeona eeeee.
Tukae nao tupige nao umbea sasa
Hahhaha nitakufata unipe codesWe kuna wahenga wana mambo ya kike acha tu.
Wapo tele
Waweze wapi.hahhahaha yani humu ukiwa mzee tafrani sasa watoto wabichi wataweza mikiki ya jf
Wadamshi kama wotyeeee!!!!Na vijoraaa wavaeView attachment 870884
na mwanamue bila pesa hanogi kbs,,,sijui kwann!Si wanajikutaga hawajali.
Badala watafute pesa....wanakuja kushindana kuanzisha thread
Kabisa watuache bhn vitoto tumekuwa facebook agrrrrrWaweze wapi.
Na ndio maana kutwa kutusimanga.
Hata tongo za tumboni hazijawatoka.
Hahahhhaha.....umenishinda tabia.Hahhaha nitakufata unipe codes
Pambyeeee naona walisema kwann hatuwez kushiriki mada ngumu mfyuuu hiyo siyo kazi yetuuu na wenyewe waache umbeyaa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Wadamshi kama wotyeeee!!!!
Pambyeeee tu