Chura unayo ila mchoyo!Hunipendi tena kisa sina chura??
Hayo mapenzi yenu ya kutamanishana yatakupa taabu sana!nani asiyejua kwa espy mimi moto hauzimi
mm jina lako na hyo picha!hhhahahaha wooooozzzzzzzzzzzzaaaaaaaaaaaa
Hayo mapenzi yenu ya kutamanishana yatakupa taabu sana!
Mkuu kwa wanaume ninaowajua mimi..Hahahahaa. Kwani huwezi kumkubali rafiki ako mkuu mpaka umtafune?
chochote niambieBaby nikwambie kitu...
chochote niambie
nitakusikiliza bila kuchoka
hunizidi mimi yaani hapa nakufikiria ww tuNakupenda sana mume wangu.
hunizidi mimi yaani hapa nakufikiria ww tu
natamani nikupigie simu tuongee
najikaza ila naona nashindwa
ndani ya dk babyKama upo mawazoni mwangu, piga basi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] madame bwanaaNampa pole najua kaingiza.
Asa huyo wa upande wa pili nampa pole ili tunuse wote ushuzi?
Akajambe mbele huko.
Mbinguni hugusi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] makavu live!!!Umeona eee.
Mwanamke hata akose pesa vipi....kuitwa mwanamke ni damshi tosha.
Nitanukia, na nitavutika kama big jii.
Mwanaume sasa, beberu si beberu, simba si simba....ili mradi harufu kama yoteeeee!!!!!
Afu ndo ukute ananuka vundo, mama weeeeeeeee....
Kelele miiiingi.
Kisa Id yako kongwe, Id na pesa bhana
Mbinguni hugusi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] makavu live!!!
Nimekuwa napitia huu uzi na kusoma maoni ya wadau kwa maslahi yangu binafsi hasa ya kiutafiti.Umeona eeeee.
Tukae nao tupige nao umbea sasa
miss you mnoo upo mpendwa