Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

Ni member gani wa kike unayempenda zaidi?

Hahahahaa. Kwani huwezi kumkubali rafiki ako mkuu mpaka umtafune?
Mkuu kwa wanaume ninaowajua mimi..
Labda mwanamke awe dada yake au awe halipi..
Au unakuta mtu kapigwa friendzone

Tofauti na hapo urafiki kati ya mwanaume na mwanamke mkaliii ni unafiki na uongo mtupu
 
Umeona eee.
Mwanamke hata akose pesa vipi....kuitwa mwanamke ni damshi tosha.
Nitanukia, na nitavutika kama big jii.

Mwanaume sasa, beberu si beberu, simba si simba....ili mradi harufu kama yoteeeee!!!!!
Afu ndo ukute ananuka vundo, mama weeeeeeeee....
Kelele miiiingi.
Kisa Id yako kongwe, Id na pesa bhana
Mbinguni hugusi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] makavu live!!!
 
Umeona eeeee.
Tukae nao tupige nao umbea sasa
Nimekuwa napitia huu uzi na kusoma maoni ya wadau kwa maslahi yangu binafsi hasa ya kiutafiti.

Hoja yako hii imenifanya nikuulize swali au maswali,nina uhakika kupitia wewe nitapata faida.

Ni nini maana ya Umbea ?

Kwanini umbea umehusishwa sana na watoto wa kike ?

Je umbea ni sifa au tabia ?

Na kama ni moja kati ya viwili hivyo,je kama ni sifa je ni sifa nzuri na kama ni tabia je ni tabia nzuri ?

Kama ikionekana ni tabia mbaya na haifai mtu kupambika nayo ? Kwanini wanawake wengi wamekuwa au mmekuwa mkiikumbatia na kuifanya kama ni sifa ya kusifika nayo ? Je kufanya hivi hamuoni kama mnasifia ujinga na ubazazi.

Asante sana...!
 
Back
Top Bottom