Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
maana naona wale wasahaulifu wanavyojichanganya πππ kwenye uzi sita kote kataja mtu tofauti... kama vipi ziunganishwa tu hiz uziNdo upepo wake utakua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maana naona wale wasahaulifu wanavyojichanganya πππ kwenye uzi sita kote kataja mtu tofauti... kama vipi ziunganishwa tu hiz uziNdo upepo wake utakua.
daaaaah.. tuseme watu wanapenda mwandiko na id anaanza kushuka verse ππππni shortcut ya mitongozo
Hahahahahaaa. Embu mods waunge tuchekemaana naona wale wasahaulifu wanavyojichanganya [emoji23][emoji23][emoji23] kwenye uzi sita kote kataja mtu tofauti... kama vipi ziunganishwa tu hiz uzi
Wew tena, nakuita.Ukiiva nitag mm naenda kula bar
hahahah.... mambo hadharani au sio?Ndo hivyooo mwendo wa kujunjana kimya kimya marufuku
Ewaaah kabisaaahahahah.... mambo hadharani au sio?
ππππ kuna watu watatelekeza id zao πππHahahahahaaa. Embu mods waunge tucheke
hahah... hivi huko PM picha huwa zinatolewa au maana daaaah kutongoza sababu ya id na mwandiko tu inataka moyo ππEwaaah kabisaaa
Sasa ukute bby wako anasifia mwingine. Badamu batamwagika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu watatelekeza id zao [emoji23][emoji23][emoji23]
tena kwenye thread tatu kila thread kataja mwingine na ww haujatajwa πππSasa ukute bby wako anasifia mwingine. Badamu batamwagika
Ni kama BIKOhahah... hivi huko PM picha huwa zinatolewa au maana daaaah kutongoza sababu ya id na mwandiko tu inataka moyo [emoji23][emoji23]
ππππ mambo ya expectation vs realityNi kama BIKO
Ndo hivyoo ukikuta ovyo ndrukiiiiii mnabak kupigana madongoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya expectation vs reality
πππππ noma sanaNdo hivyoo ukikuta ovyo ndrukiiiiii mnabak kupigana madongoooo
Ndo maisha nje ya jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma sana
ππππ hivi ni moja kati ya vitu vinavyoifanya JF kuwa unique asee πNdo maisha nje ya jf
Ngoja nijilie zangu pilau nitarud[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ni moja kati ya vitu vinavyoifanya JF kuwa unique asee [emoji23]