osiligi2018
Member
- Nov 25, 2019
- 62
- 51
yeah Kiduku katika ubora wakeHabari ndugu yangu. Mimi nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.
Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
#Mlevi mmoja huyu nikikutana nae lazima nimuandalie bapa 1 na mkuu #Mshana jr huyu nikikutana nae itabidi niandae kuku wa kafara kabisa [emoji3][emoji3]
Hivyo unaniuliza au unaniambia?Wewe ndio huyo aminas una I'd mbili
Nakumbia kwasababu nakujua mbona tumelala wote Kama mke wangu Mara kibaoUnaniuliza au unaniambia?
Pambana na hali yako wewe . Halafu sio mara ya kwanza unanifuata fuata. Mxiiiiieww.N
Nakumbia kwasababu nakujua mbona tumelala wote Kama mke wangu Mara kibao
Hizo stress za Tanzania njoo hapa Turin au jumatano Genoa nikupe raha mama uondokane na stress za ccmPambana na hali yako wewe. Halafu sio mara ya kwanza unanifuata fuata. Mmxiiiiewww..
Yaani ulivyoanza tu nilijua mdomo unakuwasha. Kweendraaaaa. Tafuta maji uoshe uso mana bado una akili za usingizi.
Aiseeee!!! Hivyo kuniparamia kote ni kutaka nijue kwamba uko Turin. Lol.Hizo stress za Tanzania njoo hapa Turin au jumatano Genoa nikupe raha mama uondokane na stress za ccm
Seriously shadeeya nakupenda mno natamani uwe mke wangu unaonekana uko sexy halafu uko na black beauty flan og Kama hutajali njoo pm tuongee mawili 3 am serious!Aiseeee!!! Hivyo kuniparamia kote ni kutaka nijue kwamba uko Turin. π€£π€£π€£π€£.
Wenzio hawa kina Kaka DellaPina wako huko miaka nenda rudi na wala hawana habari. π€£π€£π€£.
Zidi kupambana Dogo.
Hahahaha Mtani Za Siku Mtani!?Mi aminas tu. Sijui tutakutana lini Mtani nikutanie weee. π π π π
Nakuonaga kama uko serious ila najua tukikutana tutacheka sana tu siku hiyo Mtani.
Mbona alipotaja Turin kama hasira imepungua kidogo? Alimaanisha Turi.ani tu hapa Moro[emoji23][emoji23]Aiseeee!!! Hivyo kuniparamia kote ni kutaka nijue kwamba uko Turin. Lol.
Wenzio hawa kina Kaka DellaPina wako huko miaka nenda rudi na wala hawana habari za kujimwambafayi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Zidi kupambana Dogo.