osiligi2018
Member
- Nov 25, 2019
- 62
- 51
yeah Kiduku katika ubora wakeHabari ndugu yangu. Mimi nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.
Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?