Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Habari ndugu yangu. Mimi nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.

Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
yeah Kiduku katika ubora wake
 
Hizo stress za Tanzania njoo hapa Turin au jumatano Genoa nikupe raha mama uondokane na stress za ccm
Aiseeee!!! Hivyo kuniparamia kote ni kutaka nijue kwamba uko Turin. Lol.

Wenzio hawa kina Kaka DellaPina wako huko miaka nenda rudi na wala hawana habari za kujimwambafayi. 🤣🤣🤣.

Zidi kupambana Dogo.
 
Aiseeee!!! Hivyo kuniparamia kote ni kutaka nijue kwamba uko Turin. 🤣🤣🤣🤣.

Wenzio hawa kina Kaka DellaPina wako huko miaka nenda rudi na wala hawana habari. 🤣🤣🤣.

Zidi kupambana Dogo.
Seriously shadeeya nakupenda mno natamani uwe mke wangu unaonekana uko sexy halafu uko na black beauty flan og Kama hutajali njoo pm tuongee mawili 3 am serious!
 
Mi aminas tu. Sijui tutakutana lini Mtani nikutanie weee. 😅😅😅😅

Nakuonaga kama uko serious ila najua tukikutana tutacheka sana tu siku hiyo Mtani.
Hahahaha Mtani Za Siku Mtani!?

Nikajua Ile Ya Tar Nane Tutashtuana Ila Sijui Kwanini Nilihisi Ile Mechi Tunaenda Kukaa Ikabidi Nitulie Kimya, Uku Nikiomba Tu Nisione Tag Yako.

Ipo Siku Tu Mtani Tutaonana InshaAllah.

Ila Apo Kwenye Userious Hapana Mtani Ni Mandishi tu Haya Sema Sie Ni Wale Si Waongeaji Sana Labda.
 
Kwakweli sitaki kukutana na yeyote. Maana ni fake people ,fake ID , fake name, kila kitu humu jf ni fake acha niendelee kuwajua hivyo hivyo, Mkuu mwenyewe yupo humu na Fake ID ,fake name hadi watu mnatongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeee!!! Hivyo kuniparamia kote ni kutaka nijue kwamba uko Turin. Lol.

Wenzio hawa kina Kaka DellaPina wako huko miaka nenda rudi na wala hawana habari za kujimwambafayi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Zidi kupambana Dogo.
Mbona alipotaja Turin kama hasira imepungua kidogo? Alimaanisha Turi.ani tu hapa Moro[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom