mind ur business
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 416
- 415
[emoji4]
Ukianza na MLEVi Mmoja.
Kutakua na roll call Iyo siku, wataingia kwa majina.Tatizo kwenye get together hakuna guarantee ya kumuona unayemtaka. Mfano mimi natamani kuonana na wewe nitajuaje kama upo huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchakataji maarufu, hatoi hata mia lakini anachakata kuliko wenye hela zao.
Jamaa anapatikana kilingeni hahaha.Mshana jr!!
Coz mada zake kuu ni nguvu za giza.natamani nimuulize maswali mengi live kuhusu uchawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ID nyingi so yupo humu ndani bado.GENTAMYCINE. Nataka nimuone maana hataki kupingwa ukimpinga hata kwenye uzi unaambulia matusi ya kutosha
Halafu nahisi yupo kwenye ban maana ni muda sijamuona humu
Kwa matusi yale nahisi ni Msela sidhani kama ni demu
Atakuwa ni dume, sidhani kama kuna ke mwenye uandishi ule labda kama ni Spy next door A.K.A mdada wa kitengo.Hiv ni mwanamke? Mi najua dume
Finally.. Huku mambo yanaenda + afya njema.Habari ndugu yangu. Mimk nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.
Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
Kwa hiyo kazi tz umeacha lini na wewe mtoto kwenye ile kampuniHabari ndugu yangu. Mimk nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.
Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
Hao ni paka na chui
Happy new year mate.