Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

GENTAMYCINE. Nataka nimuone maana hataki kupingwa ukimpinga hata kwenye uzi unaambulia matusi ya kutosha
Halafu nahisi yupo kwenye ban maana ni muda sijamuona humu
Jamaa ID nyingi so yupo humu ndani bado.
Kuna ID yake mpya alikuja nayo then watu wakamshtukia kwa uandishi wake, asee alimwaga nyongo za hatari kwa wote waliomtajia jina la GENTAMYCINE

Distributed Denial-of-Service
 
Habari ndugu yangu. Mimk nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.

Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
Finally.. Huku mambo yanaenda + afya njema.
Tunakunyima Loshoroo.

Karibu sana TZ

Distributed Denial-of-Service
 
Habari ndugu yangu. Mimk nipo sema mara nyingi nakuwa nje ya nchi. Tz nikija nakaa si zaidi ya miezi miwili.ndo maana sometime inakuwa ngumu kuonana na wadau.but nikiwepo mchana tunaweza onana katika zile hotels zilizopo katikati ya jiji.mara nyingi napata lunch huko sababu ndo naona angalau mazingira ya hizo hotels ni safi na salama.

Ntakuja early of january tutaonana....mnatunyima nini huko?
Kwa hiyo kazi tz umeacha lini na wewe mtoto kwenye ile kampuni
 
Back
Top Bottom