Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Mkuu, thanks for your admiration!

Ila usitegemee makubwa kutoka kwangu maana mimi ni wa kawaida na ni msaka tonge tu.

Anyway, uko wapi mkuu?? In Dar??
 
Kwani ukikutana na kidume kuna tatizo gani? Issue ni kukutana na member. Sasa mwenzangu sijui jinsia inahusika vipi
nikienda kukutana na mshana najua vizuri ni kidume sasa unakwenda ku meet demi unakutana na vandamme huoni hapo nikitekwa itawapa shida wapelelezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…