Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemela usijali ukaribie nyumbani vingunguti
Nina aibu kumface demi,kingine nafahamu jinsia yako ki JF kua wewe ni KE ila kiuhalisia sijui so yawezekana ukawa ni Rickrose ikiwa balaa😀😀 Haya kuja tuonane
Kwani ukikutana na kidume kuna tatizo gani? Issue ni kukutana na member. Sasa mwenzangu sijui jinsia inahusika vipiNina aibu kumface demi,kingine nafahamu jinsia yako ki JF kua wewe ni KE ila kiuhalisia sijui so yawezekana ukawa ni Rickrose ikiwa balaa
Hahah...Na mimi ndo napambana!!
Sijui kwa nini mimi huwa sitamani kuonana na mtu! Ikitokea kimasihara tukaonana huwa ni poa sana ila sio kupanga kabisaa
Mkuu, thanks for your admiration!Hello wakuu, hope mko poa.
Je kuna member yoyote wa JF ungependa kukutana naye. Kama ndio, Je! ni kwasababu gani?
List yangu + sababu zangu ni hizi hapa;
1/ Kiduku Lilo huyu bepari natamani sana nimuone, nione maisha yake halisi + mbwembwe na tambo zake kama zinaendana na awamu ya tano au ni basi tu changamsha JF. If possible anipe round mbili tatu kwenye Ford Ranger sababu I real like this car.
2/ Zero IQ wish nimuone tubadilishane mbinu kadhaa za uchakataji.
Huyu jamaa anaweza kuwa ni mtu mzito sana gavoo sema ID fake Inaficha mengi, anaweza kuwa ni...
3/ Kiranga Wish nione hata picha yake nione anafananaje maana jamaa ni mbishi sana about mambo ya Imani pande zote (NURU & GIZA) Asee bro hayajakufika ndo maana.. Rudi TZ nenda pande za KIGOMA then eleza unataka logwa utajionea.
4/ Relief Mirzska He seems to be a good guy ever, nimesoma comment yake somewhere and see how good he Is. Keep It up bro wish niwasiliane na wewe Ila I'm not allowed to send PM (dont know why)
5/ GENTAMYCINE Baba lao mzee wa mashushu, thread anaanzisha yeye Ila wachangiaji wote wanakua maadui zake ni mwendo wa mashushu + maneno mbofu mbofu (hahaha)
6/ Hance Mtanashati Wish nimuone Ili nikamilishe utafiti + mawazo yangu kuhusu yeye.. Je ni kweli!! ( Sina maelezo zaidi)
7/ warumi Aseee huyu member ni m'mbea sjapata ona, umbea wote wa IG anauleta JF sidhani kama kuna celebrity hafahamiki na huyu mtu nje ndani, then wish nijue jinsia yake.
8/...
9/...
.
.
.
Distributed Denial-of-Service
nikienda kukutana na mshana najua vizuri ni kidume sasa unakwenda ku meet demi unakutana na vandamme huoni hapo nikitekwa itawapa shida wapeleleziKwani ukikutana na kidume kuna tatizo gani? Issue ni kukutana na member. Sasa mwenzangu sijui jinsia inahusika vipi
HahahahahaHahah...
Najaribu fikiria unakutana vipi kimasikhara na mtu wa hapa yaani bila mpango wowote...
dah sjajua aisee, na wala sija confirm
Mmmmm!Hahahahaha
Kimasihara tuu jamani!! Unamuona bila hata kupeana contact
Maybe kwa ma3...Mmmmm!
Basi hata mimi natamani nione wewe kimasikhara tu...
Tena itokee kwenye kifodi/matatu/daladala, nipige chabo simu yako
Njoo gethoTatizo kwenye get together hakuna guarantee ya kumuona unayemtaka. Mfano mimi natamani kuonana na wewe nitajuaje kama upo huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimestuka kiasi flani ulivotaja kwa pamoja Mshana Jr & Rakims, Is there a problem out there?Lets Get Together
Wapo wengi kina Mshana Jr Rakims miss zomboko n.k n.k hadi GENTAMYCINE aliyenitishia kuniua wakat yy yupo mpakani mwa Rwanda na Congo sijui atanifikiaje na mtandao wake wa wasiojulikana but ( wanajulikana)
JF kila mtu tajiri, ana dem mkaliii, nguvu za kiume goli moja lisaa (nenda kwenye thread ya kula tunda kimasihara ujionee)Humu waigizaji wengi so sipendi kukutana na wasanii NI kupoteza muda tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hermaphroditeatakua na jinsia zaidi ya 1