Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Jonah bby wangu mzuri mpolee mtaratibuu mwenye hekimaa
 
Hapana dada yangu.sijaacha.kazi zangu nazunguka almost dunia nzima.yaani ikitokea mwezini au sayari nyingine imefunguliwa ofisi mimi ntafika huko pia. Katika familia yetu mimi tu ndo nimechukua uraia wa tz wengine wamechukua sweden,canada,na uk. Angalau mimi mtanzania mwenzenu.
Kwa hiyo kazi tz umeacha lini na wewe mtoto kwenye ile kampuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…