Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Kuna wakati nakumbuka watu walienda kutoa msaada ocean Road bahati mbaya sikuwepo huko ila walikutana baadhi ya wana jamii na kwenda kusaidia huko



Sent from my iPhone using Tapatalk
Nahisi walienda wale wanaojiweza kimtindo.

Hii mambo Imefia wapi siku hizi? Ni kitu kizuri sana.

Distributed Denial-of-Service
 
Back
Top Bottom