Lets Get Together
JF-Expert Member
- Nov 26, 2019
- 258
- 429
- Thread starter
- #221
Hehehe.Najua Dos. Disk operating system [emoji3][emoji3]
Nisawa pia kujua hivo.
Distributed Denial-of-Service
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe.Najua Dos. Disk operating system [emoji3][emoji3]
Sehemu kama hizi ni za watu kuuachia upumbavu wao halisi, huko alipo mtu kama yule huwezi achia upumbavu wake fully vinginevyo kila mtu atamchukia,vile alivo haigizi ni mpumbavu naturally,halafu yeye huwa anakejeli sana watu ila ukimpa scud moja takatifu anaanza kuwaita modsAlikujaga na ID flani ya eagle nini sjui.. Asee alikua anamwaga sumu sana hasa ukimwambia yeye ni Genta hamna rangi utaacha ona.
Distributed Denial-of-Service
Thanx. Sikujua Hilo. [emoji120]
tunakuombea hii 2020urudi inshallah
JF Inaweza kuwa zaidi ya Forum kama members wengi wataamua kuanzisha something like Charity. Shida Inakuja kwenye uaminifu na Identity.
Distributed Denial-of-Service
Hahahahaha! Mkuu tujiandae kwa matusi mazitonmepishana nae pale kairuki yupo na mume wake,ni mjamzito sasa!
nasikia n ujauzito wa mapacha,maana tumbo lake n hapa na kuleee
Niko na resistance ya 4065MEGA OHMSBoooom ndo kitachotokea.
Yule ni 1001kV, je wewe una ngapi?
Distributed Denial-of-Service
Sitakagi vitisho vyake vya kwenye comment ngedere yule,kafunga PM huwa natakaga nichonge nae kimya kimya ili tufahamiane kimya kimya,huku kwenye Comment atahisi napenda sifa au najigamba nionekane.
The code i promised it's now tabata ukuje tule bata mpaka kuku waone wivu ' kitambaa cheupe'Thanx. Sikujua Hilo. 🙏
Yno2 ..[emoji23][emoji23]Numbisa
Nemo
Depal
Yno2
I wish to see u, regardless of any condition you wil give me,
I assure you that i gonna fulfill it.
Sent using Jamii Forums mobile app
atakuja mwenyewe mim kayumba cjui pia
haaa haa jamani. Akikujibu nitag
Kila mtu humu ana nyumba na ana gari na bank account imefurika
Ila sasa atokee mmoja ana tatizo akaomba sufuria tu au hela ya kula hapo ndio utajua maskini ni wengi [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Baba bulubendi hujaacha fujo tu[emoji134][emoji134][emoji134]