Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nahisi walienda wale wanaojiweza kimtindo.
Hii mambo Imefia wapi siku hizi? Ni kitu kizuri sana.
Distributed Denial-of-Service
Walienda wanaoishi DAR wengi wao na huenda waliokuwepo hapo lakini walikuwa wa kila aina hata aliepeleka biscuit tu na maji
Lakini wagonjwa walifarijika sana kwa uwepo wao tu
Ni njia nzuri ya kujua haya maisha hayana formula
Huwezi kujua ya kesho Be humble
Sent from my iPhone using Tapatalk