Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Mchaga utafaidi pesa tu ila wapo very non-romantic, aku mi staki 😆, pambana utapata. Happy New year to you too darling wangu. Nakutakia mwaka mpya mwema wenye mafanikio.

😅😅😅! Sema kaumri ketu huwa katraamu kujig jig! I dont care ...nataka hela tu aisee!...khaa! Msalimie shem😍! Nipo na baba ubaya hapa🤒🤒🤒
 
😅😅😅! Sema kaumri ketu huwa katraamu kujig jig! I dont care ...nataka hela tu aisee!...khaa! Msalimie shem😍! Nipo na baba ubaya hapa🤒🤒🤒
Aisee achana na jigjig kabisaaaa..kila siku utram unaongezeka cjui kwanini.
Msalimie sana mshkaji wangu huyo. Mie nipo alone..zimebaki dakika 20 nahisi kuanza mwaka peke yangu 😔😔
 
Mkuu I wish we meet one day. You are the traveller mkuu

In Shaa Allah tunasema If God Will
Nilikuwa naangalia makala moja ya nchi rahisi kwa kustaafu [emoji3][emoji3]
Ila bado nimepitia tu makala
Kwa kusafiri bado sana mkuu maana naangalia offer za mwaka huu 2020 ambapo kuna mtu ananiomba sana nikamtembelee Toronto nategemea kwenda kwa siku 3 za weekend kama Mungu akinijaalia nikaona na Niagara falls Ontario
Hakuna kitu naweza kutumia hela na kufurahia kama usafiri
Tutaonana tu Mkuu dunia ndogo sana hii


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom