Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mchukue tu bana kwan sh ngapi? Dah ila inauma sana kupigwa kibuti nusu saa kabla ya mwaka mpya kuanza.
Mie nataka mchaga!....serious best!ah mpotezee huwez jua kuna danga limekaa smwhr linakusubiri!😅happy new yr lov wangu!