Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

In Shaa Allah tunasema If God Will
Nilikuwa naangalia makala moja ya nchi rahisi kwa kustaafu [emoji3][emoji3]
Ila bado nimepitia tu makala
Kwa kusafiri bado sana mkuu maana naangalia offer za mwaka huu 2020 ambapo kuna mtu ananiomba sana nikamtembelee Toronto nategemea kwenda kwa siku 3 za weekend kama Mungu akinijaalia nikaona na Niagara falls Ontario
Hakuna kitu naweza kutumia hela na kufurahia kama usafiri
Tutaonana tu Mkuu dunia ndogo sana hii


Sent from my iPhone using Tapatalk
In shaa Allah mkuu.

Unakumbuka maandalizi yangu ya Jordan??? They are on track
 
Mungu akutangulie
Huwezi kuijutia
Amaan ni sehemu tulivu na pasafi sana huoni hata kipisi cha sigara aisee
Utanipa mrejesho ndugu yangu


Sent from my iPhone using Tapatalk
Mrejesho ntakupa kaka. Wala usijali however, Luna dalili May hiyo hiyo nkaenda Norway.

But yeah Jordan lazima in shaa Allah this year
 
Mkuu waaminifu ni wachache sana hata tukimpa tajiri wetu humu kiduku bado atatupiga tu
Huwa natamani kusaidia ila unashindwa kujua kama ni authentic au tapeli tu



Sent from my iPhone using Tapatalk
Sure! Nakumbuka pindi Ile nimepinda balaa af nkamchangia Nyete daaah!! nlitamani kulia nlivojua nimetapeliwa

Distributed Denial-of-Service
 
Back
Top Bottom